Madrsatul twariqatil-irshaad
- Madrasa hii inapatikana TUNGUU KWA SHEMEGO ZANZIBAR,
- Madrsa hii inaongozwa na mwalimu mwenye kupenda maendeleo akijuulikana kwa jina la
JUMA MUSSA JUMA.
- Ni miongoni mwa vyuo vya madrsa vyenye kutoa mafunzo na elimu bora, katika jamii.
- Pia wapo walimu wasaidizi ambao wapo hadi sasa wakisaidiana na mwalimu wao mkuu, miongoni mwao ni
MLENGE RAJAB MLENGE
ALHAJJI .S. ALLY
UKHT: MAULID IDDI RAMADHAN
MWAJUMA SHAABAN YAGUNGA
MWANAHAWA ULEIMAN ALLY
NAFISA SALUM OMAR
FATHIA BAKARI MUSSA
MTUMWA MBARAKA KONDO
WENGINE:
MENGI MAZURI YANAPATIKANA KATIKA KUFANIKISHA ELIMU YA DINI YA KIISLAMU INAENDA MBELE

Comments
Post a Comment