ZIARA YA KIMATEMBEZI

  •  Ziara hii ilifanyika Mkoa wa Kusini Unguja, ikianziwa katika kijiji cha kizimkazi,
  •  Hapo walimu  na wanafunzi walizuru makaburi kwa kuwaombea dua wote waliotangulia mbele ya haki ALLAH awasamehe wao na waislamu wote waliotangulia mbele ya haki آمين.
  • Baada ya hapo, walimu waliwaongoza wanafunzi kula chakula cha asubuhi na kuendelea na safari kuelekea katika kijii cha MICHAMVI  



Karibuni katika madrasa yetu kwani tupo pamoja na jamii katika malezi na makizi ya mtoto katika elimu ya dini ya kiisalamu 

Comments